WAZIRI NDAKI AZINDUA MAONESHO YA MIFUGO CHALINZE

 

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.Mashimba M.Ndaki (MB)akipata maelezo kuhusiana na huduma zinazotolewa na Wakala ya Maabara ya Veterinari  Tanzania (TVLA) kutoka kwa Afisa Utafiti Mifugo wa TVLA Ndg.Msafiri S. Kalloka kwenye uzinduzi wa maonesho ya Mifugo kibiashara yaliyofanyika kwenye uwanja wa maonesho Highland Estate LTD, Ubena Zomozi, Chalinze Julai 15, 2022
Ndg.Msafiri S.Kalloka Afisa Utafiti Mifugo wa Wakala ya Maabara ya Veterinari  Tanzania (TVLA) akitoa maelezo kuhusiana na huduma zinazotolewa na Wakala kwa wanananchi waliotembelea banda la TVLA kwenye uzinduzi wa maonesho ya Mifugo kibiashara yaliyofanyika kwenye uwanja wa maonesho Highland  Estate LTD, Ubena Zomozi, Chalinze Julai 15, 2022

Post a Comment

0 Comments