RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KAIMU BALOZI WA MAREKANI IKULU CHAMWINO

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania,Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025. 

Pamoja na masuala mengine, walijadiliana kuhusu ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa, kijamii pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo baina ya Tanzania na Marekani.



Post a Comment

0 Comments