SIMBA TAWI LA BUNGENI.

Spika Ndugai akiwa na  Mo Dewji pamoja na Mbunge wa Bumburi, January Makamba.

Spika wa Bunge  ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla hiyo, akiteta jambo na baadhi ya wabunge wanachama wa Simba, Livingstone Lusinde maarufu Kibajaji na Aeshi.

Mama Salma Kikwete Mbunge wa Mchinga, ambaye ni Mke wa Rai mstaafu wa Awamu ya ya Nne, Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa hafla hiyo ambapo hata yeye ni mmoja wa wabunge wapya wanachama wa klabu hiyo.

Wabunge wanachama wa Klabu ya Simba pamoja na wanachama wengine wa Tawi la Simba Mjengoni (Bungeni) wakiwa katika hafla maalumu ya kuwakaribisha wabunge wapya wanachama wa klabu hiyo jijini Dodoma Novemba 18,2020

Post a Comment

0 Comments