About Us

HABARI MOTO BLOG,tunatoa habari zetu kwa kuzingatia ueledi,haki na usawa, kila habari tunayoripoti ni ya ukweli,uhakika na inatoa fursa kwa pande zote,bila kuangalia Udini,Ukabila.

Hivyo tunatoa wito kwa wasomaji wetu kujiepusha na mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi, kuvuruga, kuharibu ama kuhatarisha amani ya mtu katika jamii.

Kwa Mujibu wa sheria Mwaka 2018 tumepewa Leseni na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, hivyo tunafanya kazi kwa usimamizi wa Mamlaka hiyo,kwa hiyo msomaji maji yeyote atakayetoa maoni yanayokwenda  kinyume na sheria ataingia kwenye matatizo na TCRA.

Post a Comment

0 Comments