Gormahia Bingwa Kenya


Shirikisho la mpira nchini Kenya (FKF) imeipa ubingwa timu ya Gor Mahia FC kuwa mabingwa  kwa mwaka 2019/2020  katika Kenya Premier League baada ya ligi kushindwa kumalizika kutokana na kuibuka kwa Virusi vya Covid 19.

Mechi Tano zimebaki kabla ya msimu kumalizika.

Vipengele vya sheria ya shirikisho la soka nchini Kenya ndivyo zinavosema.



Post a Comment

1 Comments