PICHAZ:CRISTIAN BELLA ALIVYOTIKISA ARUSHA.

 Cristian Bella jana alikua mkoani Arusha akifanya show ambapo alikonga nyoyo mashabiki kwa nyimbo zake kali.

Hapa nimekuwekea picha ujionee watu walivyo burudika baada ya kuikosa kwa miezi miwili kutokana na janga la Covid 19.





 Cristian Bella akiimba kwa hisia.

Post a Comment

1 Comments