Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo wilayani Kilolo mkoani Iringa,Julai 8,2024.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama dawati wakati alipokagua ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo wilayani Kilolo mkoa wa Iringa, Julai 8,2024.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa,Peter Serukamba na wa tatu kulia ni Mhandisi wa wilaya ya Kilolo Emmanuel Sagachuma ambaye alisimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akionesha dirisha lisilokuwa na wavu katika jengo la utawala la Shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo wilayani Kilolo Julai 8, 2024.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba na wa pili kushoto ni Mhandisi wa wilaya ya Kilolo,Emmanuel Sagachuma ambaye alisimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments