Mgombea udiwani NLD Mwera achukua fomu ya kugombea uchaguzi 2026

Mgombea udiwani wa Kata ya Mwera, Wilaya ya Pangani mkoani Tanga, kupitia Chama cha NLD, Boniface Gideon (kulia), akipokea fomu ya kugombea nafasi hiyo kutoka kwa Msimamizi wa Uchaguzi, Ndugu Kigiriki, leo Oktoba 10, 2026.

Zoezi la uchukuaji fomu lilianza Oktoba 7 na linatarajiwa kufungwa Oktoba 13, 2026, huku uchaguzi ukipangwa kufanyika Novemba 4, 2026.

Post a Comment

0 Comments