Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Burundi nchini , Mhe. Abayeho Gervais baada ya kutia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza kwenye Ubalozi wa Burundi, Upanga jijini Dar es salaam, Juni 17, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 Comments