AZAM FC YAWAPA MKONO WA KWAHERI WACHEZAJI HAWA

Klabu ya Azam FC imetangaza kuachana na Wachezaji wake Wanne ambao ni Ayoub Lyanga, Edward Manyama, Malickou Ndoye na Issa Ndala ambao mikataba yao imefikia ukomo.

Taarifa ya Azam Fc imesema:“Ahsanteni sana kwa mchango wenu wa kuipigania nembo ya klabu yetu kwa kipindi chote mlichokuwa nasi.

"Tunawatakia kila la kheri huko muendako katika safari yenu nyingine ya soka"

Post a Comment

0 Comments