UZINDUZI JEZI MPYA YA TIMU YA TAIFA.

 

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi leo tarehe 6 Oktoba, 2020 ameshiriki uzinduzi wa jezi mpya za Timu ya Taifa( Taifa Starz) uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

Katika uzinduzi huo pia kampuni ya Bia ya Serengeti imeongeza Mkataba wake wa udhamini kwa Timu ya Taifa wenye thamani ya shilingi Bilioni 3.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi leo tarehe 6 Oktoba, 2020 akizungumza kwenye uzinduzi wa jezi mpya za Timu ya Taifa( Taifa Starz) uliofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.


Post a Comment

0 Comments