MAONESHO YA SABA YA BIASHARA ZANZIBAR YAFUNGULIWA NA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa Maonesho ya Saba ya Biashara Zanzibar, leo Januari 06,2021 yaliyofanyika katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar ikiwa ni shamrashamra ya miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kufikia kilele chake tarehe 12 Januari 2021.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuzindua rasmi  Maonesho ya Saba ya Biashara Zanzibar leo Januari 06,2021 katika Viwanja vya Maisara, ikiwa ni shamrashamra ya Miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yanayotarajiwa kufikia kilele chake tarehe 12 Januari 2021.

Post a Comment

0 Comments