RAIS DKT.JOHN MAGUFULI AFARIKI,MAOMBOLEZO SIKU 21


RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefariki dunia katika Hospitali ya Mzena jijini Dar Es Salaam.

Taarifa ya Msiba huo Mkubwa wa kitaifa imetolewaa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan aambaye amesema Rais Magufuli amefariki March 17,2021 kwa maradhi ya Moyo.

"Nchi yetu itakuwa kwenye maombolezo ya siku 14 na bendera zitapepea nusu mlingoti" -Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan 

Taifa litakuwa katika maombolezo ya siku 14,ametangaza Makamu wa Rais #Pumzika kwa Amani Rais Magufuli.

Post a Comment

0 Comments