Wachezaji wa TRA wa mchezo wa mpira wa miguu na Netball wakiifuatilia mchezo wa timu yao ya Basketball ikimenyana na MOCU kwenye viwanja vya Habours kwenye mashindano ya SHIMUTA.
Timu ya TRA imekua ikifanya vizuri katika mashindano ya michezo wanayoshiriki.
Timu ya TRA imeendelea kufanya vizuri katika mashindano ya SHIMUTA katika michezo mbalimbali ambapo leo katika viwanja vya Habours,timu ya mchezo wa Basketball waliibuka na ushindi mnono dhidi ya MOCU.Timu ya TRA imeendelea kufanya vizuri katika mashindano ya SHIMUTA katika michezo mbalimbali ambapo leo katika viwanja vya Habours,timu ya mchezo wa Basketball waliibuka na ushindi mnono dhidi ya MOCU.
Mchezaji wa TRA akiwa na mpira akielekea kufunga huku mcezaji wa MOCU akijaribu kumkaba kwa macho.
Wachezaji TRA wakiwaangalia timu yao ya Basket uwanjani.
Mchezaji wa TRA akifunga pointi tatu.
Mchezaji wa TRA akifunga.
0 Comments