MKUTANO MKUU MAALUM WA KUMCHAGUA MH.SAMIA SULUHU HASSAN KUWA MWENYEKITI WA CCM


 Mwenyekiti Mteule wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan  anayetarajiwa kupigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM leo kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetion akiwa kwa pamoja na viongozi mbalimbali wakiwa meza kuu.

Mwenyekiti Mteule wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan  anayetarajiwa kupigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM leo kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convetion akiwa kwa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula kulia na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwini wakiimba  wimbo maalum wa CCM mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa mkutano huo jijini Dodoma leo Aprili 30,2021

Wenyeviti Wastaafu wa CCM kushoto ni Jakaya Kikwete na Ally Hassan Mwinyi

Wajumbe wa Kamati Kuu Taifa Dk. Philip Isdori Mpango kushoto na Dk. Hussein Ali Mwinyi wakifuatilia mkutano huo kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mzee Amani Abeid Karume.


Post a Comment

0 Comments