PICHA ZA USIKU WA JUKWAA LA WANAWAKE


Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Tanga,Aziza Ramadhan wakipeana mkono wa Hongera na Katibu Tawala mkoa wa Tanga,Pili Mnyema wakati wa siku ya mwanamke Duniani.

Kamati ya Maandalizi ikimpokea Katibu Tawala Mkoa wa Tanga Pili Mnyema ambae alikua mgeni rasmi.
Wanawake waliofanya vizuri ndani ya ukumbi wakipatiwa zawadi zao
Mheshimiwa Jaji Mfawidhi Kanda ya Tanga,Latifa Mansoor alikuepo
Burudani ikiendelea
Madam Latifa Shehoza,na mjumbe wa Kamati ya Maandalizi akitoa nasaha kwa wanawake
Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji Wanawake Tanga Aziza Ramadhan akizungumza
Kamati ya Maandalizi wakizungumza
Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Tanga,Alsheymar Kwegyir akiimba wimbo wa Mdodoo

Post a Comment

0 Comments