Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akikagua majengo ya Mahakama ya Mwanzo Uyole ambayo yameharibiwa wakati wa vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amefanya ukaguzi huo Desemba 18,2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa majengo ya Mahakama ya Mwanzo Uyole ambayo Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amekagua uharibifu wake uliotokana na na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments