Rais Samia Ahamasisha Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Dar es Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amevaa sare za Umoja wa Mama na Baba Lishe Tanzania (UMALITA) mara baada ya kukabidhi mitungi ya gesi na majiko yanayotumia nishati safi ya kupikia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Aprili, 2026.

Post a Comment

0 Comments