Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza na kusikiliza kero katika soko la Machinga lililopo jijini Dodoma Desemba 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimsikiliza mfanyabiashara Sofia Hassan, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza na kusikiliza kero katika soko la Machinga lililopo jijini Dodoma Desemba 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


0 Comments