MH.WANG Yi KUTOKA CHINA,ASHAWASILI CHATO

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Geita Wilayani Chato leo tarehe 07 Januari 2020 na kupokewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi.
Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Mhe. Wang Yi katika uwanja wa ndege wa Geita Wilayani Chato.Kesho atakutana na kuzungumza na Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli hapa Chato.

Post a Comment

0 Comments