NAIBU WAZIRI TAMISEMI AWASILI JIJI LA TANGA

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt.Festo John akipokelewa na mkurugenzi wa jiji la Tanga Daudi Mayeji kwenye ofisi za Halmshauri.

Mkurugenzi wa jiji la Tanga Daudi Mayeji akimwongoza Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt.Festo John kuelekea kwenye ukumbi kuzungumza na watendaji wa Halmashauri jiji la Tanga.
 

Post a Comment

0 Comments