VIONGOZI MKOA WA TANGA WALIVYOMUAGA CHARAS

 

Mkuu wa mkoa wa Tanga Waziri Waziri Kindamba akitoa Neno kwa katibu Mkuu wa CCM aliyestaafu Seleman Charas,kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Tanga Rajab Abdul Rahman akiwa na huzuni ya kustaafu,kwa kiongozi mweledi na mwenye maono akistaafu na akiwa amefanya nae kazi tangu alipoingia madarakani.

Baadhi ya Viongozi wa CCM mkoa wa Tanga Kwa ngazi tofauti Mohamed Ratco na Jumbe Said wakisikiliza nasaha za mkuu wa mkoa


Post a Comment

0 Comments