Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema kwenye Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara(Tanzania-Zambia Business Forum)uliofanyika Lusaka nchini humo tarehe 24 Oktoba,2023.
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara (Tanzania-Zambia Business Forum) uliofanyika Lusaka nchini humo tarehe 24 Oktoba,2023
0 Comments