Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi.Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania Bi.Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
0 Comments