Rais wa Singapore Awasili Ikulu kwa Ziara ya Kitaifa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam akipokea heshima ya wimbo wa Taifa mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 09 Juni, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa Ziara ya Kitaifa, tarehe 09 Juni, 2026.

Post a Comment

0 Comments