ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MH.SAMIA SULUHU MUHEZA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akisalimiana  na Wananchi wa Kijiji cha Majengo Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga alipokua njiani akielekea katika Kijiji cha Pongwe kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Safi na Salama wa Mji wa Muheza leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.
Hii sio kampeni ni ziara tuu..Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,akisalimiana  na Wananchi wa Wilaya ya Muheza baada ya  kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya  Muheza Mkoani Tanga leo March 16,12021.Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.

Wazee wa kazi wakiwa mitamboni

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mwanaidi Ali Khamis akieleza jambo kwa Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu katika Hosptali ya Wilaya ya Muheza.



Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela akizungumza kwa kuelekeza jambo katika Hosiptali ya wilaya ya Muheza wakati wa ziara ya Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu.


Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela akizungumza katika Hosiptali ya wilaya ya Muheza wakati wa ziara ya Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu.
Makamu wa Rais yupo Mkoani Tanga akiendelea na ziara yake ya kikazi ya siku 5 kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.

Post a Comment

0 Comments