NAIBU WAZIRI WA UJENZI NA UCHUKUZI MWITA WAITARA ZIARA YA KIKAZI TANGA

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mwita Waitara akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka za TBA,TPA,TANROADS,TEMESA,Mamlaka ya Viwanja vya Ndege,TRC,LATRA pamoja na TASAC kwenye ziara yake ya siku moja mkoani Tanga.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania Eric Hamissi akizungumza wakati wa kikao hicho cha Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi.



Wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mwita Waitara.
Wafanyakazi waliokuja kumsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mwita Waitara.
Wafanyakazi waliokuja kumsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mwita Waitara.
Meza kuu kutoka kushoto Katibu Tawala mkoa wa Tanga Judica Omari,Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigela,Naibu Waziri Mwita Waitara na Mkurugenzi mkuu wa TPA 



Post a Comment

0 Comments