WAZIRI MKUU AHUTUBIA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA TAASISI YA WAHANDISI TANZANIA

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Kimatifa la 14 la Taasisi ya Wahandisi Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha, Desemba 6,2024.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili  kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha(AICC)kuzungumza katika Kongamano la Kimataifa la 14 la Taasisi ya Wahandisi Tanzania, Desemba 6,2024.Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments