WABUNGE TANGA WALIVYOMWAGA MINOTI KWA CHARAS

 

Katibu wa Wabunge mkoa wa Tanga Mh.Husna Sekiboko pamoja na Naibu Waziri wa Michezo Mh.Hamis Mwinjuma walikuepo kwenye sherehe za kumuaga Katibu Mkuu aliyestaafu wa CCM Seleman Charas.

Mh.Husna Sekiboko alisindikizwa na Wabunge wenzake Rehema kutoka mkoa wa Tabora na Mbunge anayewakilisha vyuo vikuu na Mbunge kutoka Zanzibar

Katibu Mstaafu akiwashukuru Kamati ya Bunge na Naibu Waziri wa Michezo
Wabunge mkoa wa Tanga wote kwa pamoja walitoa zawadi ya shilingi milioni Tano

Post a Comment

0 Comments