MAINJINIA WA MAJI WALIVYOMUAGA CHARAS

 
Mainjinia wa Maji kutoka Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira jijini Tanga(Tanga UWASA) Injinia Rashid Shaban na Meneja wa RUWASA mkoa wa Tanga Injinia Upendo Ligongo wakitoa zawadi Kwa Katibu mstaafu wa CCM mkoa wa Tanga Seleman Mzee Charas.

Injinia Rashid Shaban,Injinia Upendo Ligongo kwenye picha ya pamoja na Katibu mstaafu wa CCM,sambamba na mwandishi wa gazeti la uhuru Sofia Wakati.


Post a Comment

0 Comments