MAKAMU WA RAIS AZINDUA"GREEN BOND"UUZAJI WA HATIFUNGANI KWA MRADI WA MAJI TANGA

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Uuzaji wa Hatifungani kwaajili ya Fedha za Mradi wa Kuboresha Miundombinu ya Maji Tanga uliyofanyika katika Ukumbi wa Regal Naivera Jijini Tanga tarehe 22 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua Uuzaji wa Hatifungani kwaajili ya Fedha za Mradi wa Kuboresha Miundombinu ya Maji Tanga hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Regal Naivera Jijini Tanga tarehe 22 Februari 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishuhudia makabidhiano ya idhini ya uuzaji wa Hatifungani iliyotolewa na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) kwa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Tanga wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Uuzaji wa Hatifungani kwaajili ya Fedha za Mradi wa Kuboresha Miundombinu ya Maji Tanga. Tarehe 22 Februari 2024.

Post a Comment

0 Comments