Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Daraja la Berega, Wilayani Kilosa katika muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Kata ya Berega Wilayani Kilosa mara baada ya kufungua Daraja la Berega katika muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro tarehe 02 Agosti, 2024.
0 Comments