Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa 2025 Ismail Ali Ussi akiweka Jiwe la Ufunguzi Mradi wa Maji Kwedizinga uliopo Kijiji cha Kwedizinga, Kata ya Kwedizinga, Halmashauri ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga Juni 6, 2025.
Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni Japhari Kubecha(wa pili kulia)Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Handeni Ameir Changogo (wa tatu kushoto), Mbunge wa Jimbo la Handeni Vijijini John Sallu (kushoto), Meneja wa RUWASA Mkoa wa Tanga Mhandisi Upendo Lugongo (katikati), na Msimamizi wa Mradi wa Maji Kwedizinga kutoka Shirika la World Vision Tanzania Daniel Chuma.
0 Comments