Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati nyimbo za taifa zikiimbwa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ Troika Summit), Harare nchini Zimbabwe, leo tarehe 16 Agosti, 2024.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax wakishiriki katika mkutano huo.
0 Comments