Rais Samia,Waziri Wang Yi Wakutana Ikulu Kujadili Mahusiano ya Tanzania–China

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 10 Januari, 2026.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Januari, 2026.

Post a Comment

0 Comments