Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wananchi, Wanachama na Wapenzi wa CCM wa Musoma Mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho Mkoani Mara tarehe 09 Octoba, 2025.
0 Comments