Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius k. Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara tarehe 10 Octoba, 2025.
0 Comments