Tanzania na Antigua na Barbuda Zafungua Ushirikiano wa Utalii

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu wa Antigua na Barbuda, Mhe.Gastone Browne,pembezoni mwa Mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS 2026), uliofanyika tarehe 3 Februari 2026, katika ukumbi wa Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Katika mazungumzo yao, viongozi hao walikubaliana kuimarisha ushirikiano katika masuala mbalimbali ya maendeleo, ikiwemo kukuza sekta ya utalii.

Post a Comment

0 Comments