Rais Samia akutana na Marais wa EAC Arusha

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Marais mbalimbali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakati aliposhiriki Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya hiyo, uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) jijini Arusha, leo Machi 7, 2026.



Post a Comment

0 Comments