Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika Mkutano wa Ndani pamoja na baadhi ya Wakuu wa Nchi wa Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kabla ya Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 07 Machi, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. William Somoei Ruto pamoja na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni na Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 07 Machi, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. William Somoei Ruto pamoja na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni na Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 07 Machi, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kenya ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. William Somoei Ruto pamoja na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni na Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Ndani wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 07 Machi, 2026.






0 Comments