Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ummy Mwalimu amechukua fomu kuwania jimbo katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ummy Mwalimu akiwa ameshika fomu ya kugombea ubunge akizungumza na wana CCM kwenye ofisi zilizopo Masiwani.
Wagombea ubunge wa viti maalumu mkoa wa Tanga wakimsikiliza Ummy Mwalimu alipokua akizungumza na Wananchi katika ofisi za CCM zilizoko kata ya Majengo.

0 Comments