TAKWIMU ZA YANGA SC NA SIMBA SC KWENYE MICHEZO YA NGA0 YA JAMII

Yanga SC na Simba sc kwa ujumla wamekutana mara tano(5)kwenye ngao ya jamii.

Yanga SC 2 - 1 Simba-2001

Yanga SC (3) 0 -0 (1) Simba-2010

Yanga SC 0 - 2 Simba SC -2011

Yanga SC (4) 0 -0 (5) Simba sc-2017

Yanga SC 1 - 0 Simba SC -2021

Yanga vs Simba ni mchezo mgumu wa derby lakini tayari ameshakutana na derby nyingi kwenye mataifa tofauti ya Afrika,Angola,Morocco, Algeria,Sudan.

Post a Comment

0 Comments