Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan,akizungumza na Wananchi, Wanachama na Wapenzi wa CCM wa Mwanza Mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Chama hicho Mkoani Mwanza tarehe 08 Octoba 2025.
0 Comments