KAHAMA MJINI ILIVYOITIKA KWENYE KAMPENI

 

Kahama ilivyoitikaa kwenye kampeni za Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan,akizungumza na Wananchi, Wanachama na Wapenzi wa CCM wa Kahama Mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho Mkoani Shinyanga tarehe 11 Octoba, 2025.

Post a Comment

0 Comments