Waziri Mkuu,Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, William Lukuvi,Bungeni jijini Dodoma, Februari 2, 2026. Katikati ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Meryprisca Mahundi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 Comments