Tanzania na UN Tourism Zajadili Miradi Mikubwa ya Utalii WGS 2026

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii (UN Tourism), Bi. Shaikha Nasser Al Nowais, pembezoni mwa Mkutano wa Jukwaa la Serikali za Dunia (WGS 2026), uliofanyika tarehe 3 Februari 2026, katika ukumbi wa Madinat Jumeirah, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Katika mazungumzo hayo, viongozi hao walijadili kuhusu kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na UN Tourism katika kuendeleza sekta ya utalii, ikiwemo utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati nchini.

Post a Comment

0 Comments